Lala Salama
SW

Lala Salama 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量11
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Willy Willy, uh Willy Paul yoyoo yoyoo yoyoo ooh Tumba tumba tumba tumba eeeh Richie bitz Kama ni kachumbari, ooh tulikula lala Kama ni katurungi, ooh tulikunywa lala Kama ni kauji, ooh tulikula lala Hata kapepsi no, ooh tulikosa sana Zaidi ya maji, ooh nasiutani rafiki rafiki Ooh nasiutani rafiki rafiki Ooh nasiutani Ooh, ooh, ooh, ooh Uu lala salama, baba ulale salama Uu lala salama, baba ulale salama Salama salama salama Salama Salama salama salama Salama Oh tangu uondoke Mama amekuwa akiteseka sana Na magonjwa kwa kupigwa kwa kurushwa nanana Kwa kupigwa kwa kukandwa kwa kurushwa aah Bado jalali ametulinda, akutuacha tuangamie Bado mwenyezi ametulinda, akutuacha tuangamie Kabla uondoke ulitambua kanilikua msanii Nikafanya rabuka, nikafanya nisitolia, nikafanya Nimpenzi Na sasa you never know Uu lala salama, baba ulale salama Uu lala salama, baba ulale salama Salama salama salama Salama Salama salama salama Salama Majirani wakuulizia msela ulienda wapi Wateja wauulizia fundi alienda wapi Watoto wauulizia jamani ulienda wapi Watoto wauulizia baba willy alienda wapi Inabidi niwadanganye, eeh baba ako ofisini Inabidi niwadanganye, baba ameitwa kazi Ooh inaniuma ooh inaniuma ooh inaniuma aah Moyoni inachoma moyoni inachoma moyoni Inachoma aah Uu lala salama, baba ulale salama Uu lala salama, baba ulale salama Salama salama salama Salama Salama salama salama Salama Jalali akulinde akuweke pema peponi Uu lala salama, baba ulale salama Uu lala salama, baba ulale salama Salama salama salama Salama Salama salama salama Salama Eeeh ooh eeeh ooh Salama salama salama Salama Salama salama salama

更多 Willy Paul

Willy Paul →

相关歌词