Pole
SW

Pole 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量7
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Yammi yammi Mwanakwenda uende, sikumbuki kilichofanya nkupende Nanukuuu ndo uliyasema hayooo Na shamba liikosa jembe Kilima cha kushuka nikipande Nikanyosha mikono juu, nikaoiga konde moyo ahh Hadi najionea maajabu, mpaka nashangaa Kipi ulichosahau kwangu ama ulipo hakuna fuhara We si ulifuta namba zangu, ukaniacha mataa Mixer kuniimbia taarabu, umeshajikataa Nananinananaaw Umeshachelewa pole Umeshachelewa pole Umeshachelewa pole Umeshachelewa pole Mhh saivi napewa full dozi ya kumimina Ahh kuna muda sina usingizi, nalazwa mzima Penzi nimelipitia kozi, sio made in China Sio wewe mwana kikohozi kubanja kujinyima Hadi najionea maajabu, mpaka nashangaa Kipi ulichosahau kwangu ama ulipo hakuna fuhara We si ulifuta namba zangu, ukaniacha mataa Mixer kuniimbia taarabu, umeshajikataa Nananinananaaw Umeshachelewa pole Umeshachelewa pole Umeshachelewa pole Umeshachelewa pole

更多 Yammi

Yammi →

相关歌词