Chanda Chema
SW

Chanda Chema 歌词

流派World Music
原文语言SW
浏览量2
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Lalaalalaaha Lalaalalaaha Zaddy raydio oouwoo Baba na mama nimekuwa, nimekuja kwenyu nataka ruhusa Kuna binti pia amekuwaa, ruhusa tuishi wawili Baba sijafanikiwa, ila watoto ndo barakaa Tuishi leo makiwa, usione tuna haraka Wangapi wengi hawajaoa, ila bado tu wanataka Tusichukie na ndoa, mali mbeleni tutapata Nifuraha yangu ya maisha Nikifa kesho nani tanizika Nifuraha eeh nifuraha, nifuraha aah Nifuraha yangu ya maisha Nikifa kesho nani tanizika Nifuraha eeh nifuraha, nifuraha aah Nikivishe, chanda chema Nikivishe, chanda chema Nikivishe, chanda chema Nipewe heshima Nikivishe, chanda chema Nikivishe, chanda chema Nikivishe, chanda chema Nipewe heshima Nilipomuona hapa, niliamua nituliee Nimeteseka sana, kwake nivumilie Mbeleni niitwe baba, moyoni nimjue Nieleweni mama, nanyi mumjuee Ana tabia za paroti, aah mpole saaana Chakula tamu kama keki, aaaah mpishi saaana Nikiwa naye siizeeki, aaaah mcheshi saana Hapendi za manoti, aah mzuri saaana Muniwieeh muniwieeh eeh mie Nimfungie nimfungie eeeh yeye Muniwieeh muniwieeh eeh mie Nimfungie nimfungie eeeh eeh yeye Nifuraha yangu ya maisha Nikifa kesho nani tanizika Nifuraha eeh nifuraha, nifuraha aah Nifuraha yangu ya maisha Nikifa kesho nani tanizika Nifuraha eeh nifuraha, nifuraha aah Nikivishe, chanda chema Nikivishe, chanda chema Nikivishe, chanda chema Nipewe heshima Nikivishe, chanda chema Nikivishe, chanda chema Nikivishe, chanda chema Nipewe heshima

更多 Zaddy Raydio

Zaddy Raydio →

相关歌词