Historia
SW

Historia 歌詞

ジャンルPop
原文言語SW
閲覧数6
Aa表示設定
文字サイズ 18

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
Unakubalije uwe historia Kabla siku yako haijafika Iweje leo uwe historia Kabla siku yako haijafika Muda huo, muda ulikuwepo Muda huo uliopewa Hela nazo zilikuwepo Hela ulizobarikiwa Maisha mazuri, nyumba nzuri Gari nzuri na nini na nini Muda huo uliuchezea Pesa hizo ulizichezea Kabla hata ya uzee haujaja Wameshasea aah alikuwaga Unakubalije uwe historia Kabla siku yako haijafika Iweje leo uwe historia Kabla siku yako haijafika Tena hata, hata wenzio Ulokuwa nao jana Hata nao wanakusema Mali na kukucheka Umegeuka story Umekuwa mfano Geuka tukio, sio kivutio Muda huo uliuchezea Pesa nazo ulizichezea Kabla hata ya kifo chako Walishasema aah alikuwaga Unakubalije uwe historia Kabla siku yako haijafika Iweje leo uwe historia Kabla siku yako haijafika Staki leo kuwa historia Labda kesho iwe historia Nataka niache historia Ntakapofika kuwa historia Unakubalije uwe historia Kabla siku yako haijafika Iweje leo uwe historia Kabla siku yako haijafika Unakubalije uwe historia Kabla siku yako haijafika Iweje leo uwe historia Kabla siku yako haijafika

Lady Jaydee の他の曲

Lady Jaydee →

関連歌詞