Habibi
SW

Habibi 歌詞

ジャンルPop
原文言語SW
閲覧数15
Aa表示設定
文字サイズ 18

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
Una rangi ya chotara Manga manga asili ya ki-Zanzibari Chokoleti colour mixer m-Tanga Tanga Una ng'ara ng'aring'ari Ngozi laini kanchori, sambusa bhajia Upo kama mdoli, yaani kama wa bandia Eeh eeh eeh Ukitembea koko (koko) Huko nyuma baikoko (koko) Mzigo siwabuku ngojero Sotojo la bokoboko (boko) Laini nyanya ya kopo (kopo) Yaani bonyero bonyero Eeeh achana naki naki Hawana lolote Watazusha na wajigi jigi Penzi watie tope Nikupeleke kwa bibi Tiffah ama Dangote Uvae shehe la wigi Utapata kwa Aristote Habibi (Habibi) Nurulhaini kipenda roho (Habibi) Nyonga mkali haini Uwoo (Habibi) Habibi (Habibi) Nurulhaini kipenda roho (Habibi) Nyonga mkali haini Uwoo uwoo Penzi lisiwe dibaji Zidisha utamu tende Mahaba yawe full charge Tukomeshe visadi viwebe Nikande kande masaji Wabaki kupiga vijembe Wakailiki magadi Ongeza na peremende (aah) Mchunge shetwani Mama twende pole pole (aah) Kuna Esma, Khan Akina Juma Lokole (aah) Wasikupande kichwani Wakazua mambo ya uchochole (aah) Iwe aibu mtaani Insta michambo wanichore Achana naki naki Hawana lolote Watazusha na wajigi jigi Penzi watie tope Nikupeleke kwa bibi Tiffah ama Dangote Uvae shehe la wigi Utapata kwa Aristote Habibi (Habibi) Nurulhaini kipenda roho (Habibi) Nyonga mkali haini Uwooo (Habibi) Habibi (Habibi) Nurulhaini kipenda roho (Habibi) Nyonga mkali haini Uwoo uwoo (Ayolizer) Usije kughairi ghairi Mi mwingine sina Usije kughairi ghairi Penzi likachina Usije kughairi ghairi Ukanitosa mazima Usije kughairi ghairi Nuru ikazima (Wasafi)

Lava Lava の他の曲

Lava Lava →

関連歌詞