Nitake Nini
SW

Nitake Nini 歌詞

ジャンルPop
原文言語SW
閲覧数10
Aa表示設定
文字サイズ 18

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
Kwako tena sitamani Nilishajua nilivaba Huna jipya Kurudi haiwezekani Nishalioga janaba Nikajisafisha, uhmm Oh maradhi yangu yamepata muguzi Mola wangu amenivusha vihunzi Pole mwenzangu, unokesha kwa waganguzi Nishapata wangu anaejua nogesha chuzi Naa ananipa mapenzi na kunijari dia Ya nyuma niyasahau Na anamaliza tenzi kutwa kunisifia Kwa methali na nahau Kwingine nitake nini Ntang'angana, Nang'ang'ania Oohoo mimi Nang'ang'Ana nang'ang'ania Sitaki madanga wa mjini Nang'ang'Ana, nang'ang'ania Oohoo mimi Nang'ang'Ana Nang'ang'ania Aah atake cha uvunguni (Sawa sawa) Pingili za sakafuni (Sawa sawa) Michezo ya kusaka kunguni (Sawa sawa) Tom na Jerry katuni (Sawa sawa) Sawa Uliposema wa nini Ye aliwaza atanipata lini Kendebwe za nini Na vijembe vya chini chini Yupo makini Penzi kashalibana na pini Anipenda mimi Hajazoea kuzini zini Kwanza kakuzidi maarifa Mpira tisini dakika Nyavu anazitikisa aahee Mlangoni mpaka kwa dirisha Pindu ananipindisha Mtoto ananifikisha aahee Naa ananipa mapenzi na kunijari dia Ya nyuma niyasahau Naa anamaliza tenzi kutwa kunisifia Kwa methali na nahau Kwingine nitake nini Ntang'angana, Nang'ang'ania Oohoo mimi Nang'ang'Ana nang'ang'ania Sitaki madanga wa mjini Nang'ang'Ana, nang'ang'ania Oohoo mimi Nang'ang'Ana Nang'ang'ania Aah atake cha uvunguni (Sawa sawa) Pingili za sakafuni (Sawa sawa) Michezo ya kusaka kunguni (Sawa sawa) Tom na Jerry katuni (Sawa sawa) Sawa

Lava Lava の他の曲

Lava Lava →

関連歌詞