Mbali Nawe
SW

Mbali Nawe lyrics

GenrePop
Original languageSW
Views82
AaReading settings
Text size 18

Original lyrics

SW
Translation not available yet. Showing the original lyrics.
Masikini mimi Mwenzako mimi Naumia sana Japo nishajua mimi Kuwa sawa na wewe haitawezekana Hata nikishuka chini, ndo unaniona Mi mjinga sana Eti umepatwa nini, mbona hapo mwanzo ulitulia aah Na wala sio mbali, sio mbali Tulikua karibu na malengo Na leo kiutani, kama utani Umeshindwa kuumaliza mwendo Na tena haujali, haujali Ukiondoka utaacha pengo Hakuna cha habari, nikae mbali Huku kuachwa bila maelezo Mbali nawe, mbali nawe Mbali nawe, mbali nawe Mbali nawe, mbali nawe Mbali nawe, mbali nawe Au kuwa na mie hautamani Basi niambie kosa gani Basi niambie jinsi gani Utakua sawa baby mmh Nikueleze jinsi gani Vile nimekuweka moyoni Hata unipime kwa mizani Nitajaa kwako honey Mi naumwa Siko sawa Lako penzi ndo yangu dawa Mi naumwa aah Siko sawa Lako penzi ndo yangu dawa Na wala sio mbali, sio mbali Tulikua karibu na malengo Na leo kiutani, kama utani Umeshindwa kuumaliza mwendo Na tena haujali, haujali Ukiondoka utaacha pengo Hakuna cha habari, nikae mbali Huku kuachwa bila maelezo Mbali nawe, mbali nawe Mbali nawe, mbali nawe Mbali nawe, mbali nawe Mbali nawe, mbali nawe

More from Jay Melody

Jay Melody →

Related lyrics