Uno
SW

Uno 가사

장르Pop
원문 언어SW
조회수17
Aa읽기 설정
글자 크기 18

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
Konde Boy Uno (yii), everybody say uno Nasema uno, everybody say uno Uno likiteguka huwezi kutembea Masai ruka ruka analinyenyekea Chumbani kwenye shuka linanitetea Mzungu kawehuka limemkolea La kimakonde la kichaga Eeeh la kichaga Wengine hadi wanywe pombe ndo wanalimwaga Eeeh wanalimwaga Uno la wima wima Linatokea Congo Si ndo lile Gwajima Alimwagia kondoo Uno, ooh, ooh, ooh oh Linawaokoa makahaba bababba Kuna walong'oa meno sabababa Ili mtoa ya chibaba Yaani a, e, i, o Uno Uno, everybody say uno Nasema uno, everybody say uno Uno, za migando kama hautaki Uno, jipinde kama unakanda chapati Nasema Uno, basi lizungushe hadi kwenye bati Uno, manga kiza kote varangati Basi kata taratibu tibu Usijepata ajali Uno la Chibu Chibu Linamkondesha Zari Uno la RayC Halinanga mifupa Ukienda DRC Kuna Fally Ipupa Aah popote wanalimwaga (uno) Yaani kinaga ubaga (uno) We jaribu kuchunguzaga (uno) Uno ndo linalegeza chaga (uno) Linawaokoa makahaba bababba Kuna walong'oa meno sabababa Ili mtoa ya chibaba Yaani a, e, i, o Uno Uno, everybody say uno Nasema uno, everybody say uno Uno, za migando kama hautaki Uno, jipinde kama unakanda chapati Nasema Uno, basi lizungushe hadi kwenye bati Uno, manga kiza kote varangati Uno (yii), everybody say uno Nasema uno, everybody say uno (Ooh my God it's Spencer)

Harmonize의 다른 곡

Harmonize →

관련 가사