Mambo Matano
SW

Mambo Matano 가사

장르Pop
원문 언어SW
조회수12
Aa읽기 설정
글자 크기 18

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
Nazi alitia kwenye chai Ghafla disco likaingia masai Kumbe mwenzake nilifocus mbali Mmh, na kunifikia inataka utayari Si alitaka mwenyewe kutengana na mimi Hivi mwembamba ama mnene hebu semeni nyinyi Na zile tambo za mujini pindi yupo na mimi Saivi viatu anchanganya na vyombo natia kabatini Mnasemaje huko Yuko sawa mnielezee Ama mnamwonaje Anajikongoja dozedoze Moja, mi huwaga sina presha (Leo sisemi sana, nina mambo matano) Pili, mjini sijaja kucheza (Leo sisemi sana, nina mambo matano) Tatu, sifundishwi kupenda (Leo sisemi sana, nina mambo matano) Nne, sirudishi mateka (Leo sisemi sana, nina mambo matano) Mi huwaga sina presha (Leo sisemi sana, nina mambo matano) Pili, mjini sijaja kucheza (Leo sisemi sana, nina mambo matano) Tatu, sifundishwi kupenda (Leo sisemi sana, nina mambo matano) Nne, sirudishi mateka (Leo sisemi sana, nina mambo matano) Tano, moyo wangu mi ni treasure! Huku mwenzake naenjoy Naongezeka thamani Apa nilipo mnitoi Mana naiona amani Naiona fursa, naiona future Nishaweka nukta, naenjoy! Naiyona true love, naliona huba Na sipotezi muda Mnasemaje huko Yuko sawa mnielezee Ama mnamwonaje Anajikongoja dozedoze Moja, mi huwaga sina presha (Leo sisemi sana, nina mambo matano) Pili, mjini sijaja kucheza (Leo sisemi sana, nina mambo matano) Tatu, sifundishwi kupenda (Leo sisemi sana, nina mambo matano) Nne, sirudishi mateka (Leo sisemi sana, nina mambo matano) Mi huwaga sina presha (Leo sisemi sana, nina mambo matano) Pili, mjini sijaja kucheza (Leo sisemi sana, nina mambo matano) Tatu, sifundishwi kupenda (Leo sisemi sana, nina mambo matano) Nne, sirudishi mateka (Leo sisemi sana, nina mambo matano) Tano, moyo wangu mi ni treasure!

Lady Jaydee의 다른 곡

Lady Jaydee →

관련 가사