Amina
SW

Amina 가사

장르Afrobeats
원문 언어SW
조회수33
Aa읽기 설정
글자 크기 18

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
Kanee! Asante God Kwa kunipa bless Asante asante God kwa kunipa bread Ni kweli nilidondoka Lakini nashukuru uliniokota Minyororo ya wanga ya kusota Uliikata yote ukaniondosha Ukanivua shida ukanivisha cheo Ukasema mwanangu me ndo baba yako leo Ukanipa chakula cha jana na leo Ukasema nitakuwa na nipo hapa leo Ukanivua shida ukanivisha cheo Ukasema mwanangu me ndo baba yako leo Ukanipa chakula cha jana na leo Ukasema nitakuwa na nipo hapa leo Let me thank you now Amina eeh Amina (papa God ooh) Amina eeh Amina (papa God ooh) Amina eeh Amina (God ooh) Amina eeh Amina (let me thank you now) Amina eeh Amina (papa God ooh) Amina eeh Amina (papa God ooh) Amina eeh Amina (God ooh) Amina eeh Amina (let me thank you now) Mola Jalali wangu baba Nilie kosa ukanisamehe ukasahau Na hichi kibali chako baba Waniheshimu wote walionidharau Kuhangaika kwa jua Ilikuwa funzo baba (aah) Kukushukuru kwa dua Hata nikila ugali dagaa Asante Mungu yako turufu Niliomba maji ukuyawekea upupu Niliomba nyama hukunipa panya buku Kombolela ukazinga me nikabutua Ukanivua shida ukanivisha cheo Ukasema mwanangu me ndo baba yako leo Ukanipa chakula cha jana na leo Ukasema nitakuwa na nipo hapa leo Let me thank you now Amina eeh Amina (nah nah nah amina) Amina eeh Amina (baba baba baba) Amina eeh Amina (aah) Amina eeh Amina Amina eeh Amina (baba ooh) Amina eeh Amina (baba ooh) Amina eeh Amina (nashukuru kwa yote) Amina eeh Amina (kwa yote) Baba God ooh Baba God ooh God ooh Let me thank you now Baba God ooh Baba God ooh God ooh Let me thank you now

Mabantu의 다른 곡

Mabantu →

관련 가사