Bodaboda
SW

Bodaboda 가사

장르Afrobeats
원문 언어SW
조회수6
Aa읽기 설정
글자 크기 18

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
Bodaboda! Yetu bodaboda Aah! Leo tutoke my mama Ruksa ukipaka kainah Kwako nishasigner Nishakufollow ka alivyosema Dayna Maama moyo wangu kwako Eeh utaniacha hoi Ruti bodaboda kijichi Tukirudi tuzame kwa ndichi Mtamu ka mboga Vile ukizungusha unanikoroga Penzi ng'anga'ania Ning'ang'anie usiniache Kitandani hatamia Mafuta tukipaka mate zile mmh Ehh unaniacha hoi Bodaboda, yetu bodaboda Sina Ferrari mama tutapanda (bodaboda) Yetu (bodaboda) Ayaya aah (yetu bodaboda) Mpaka mtwara kwa mama tutakwenda (bodaboda) X wangu alikuwa gigy Na alinipa pa' Baby nipe zigi zigi Maama vyote nilishapata hizo Mmhh ahh, ziliniacha hoi She call me bae Nipe mate hadharani washangea Nyuma umebeba nini Hizo chuchu konzi ama ndio miba nini We ni wangu wa faida Name ni wako mpaka ni Ving'asti usiwape faida ukaruhusu wakapiga aah Utaniacha hoi Bodaboda, yetu bodaboda Sina Ferrari mama tutapanda (bodaboda) Yetu (bodaboda) Ayaya aah (yetu bodaboda) Mpaka mtwara kwa mama tutakwenda (bodaboda) X wangu alikuwa gigy Na alinipa pa' Baby nipe zigi zigi Maana moyo wangu kwako Hum eeh utaniacha hoi Ruti bodaboda kijichi (bodaboda, yetu bodaboda) Sina Ferrari mama tutapanda (bodaboda) Yetu (bodaboda) Ayaya aah (yetu bodaboda) Mpaka mtwara kwa mama tutakwenda (bodaboda) Yetu bodaboda!

Mabantu의 다른 곡

Mabantu →

관련 가사