Hanipendi
SW

Hanipendi lyrics

GenrePop
Original languageSW
Views8
AaReading settings
Text size 18

Original lyrics

SW
Translation not available yet. Showing the original lyrics.
Hivi unavyo nifanyia naomba visijirudi kwako Maana mi naupenda moyo wako Nime muonaa dah ume mpost mtu wako Mnaendana sanaa na mimi sio type yakoo Nateswa na baridi silalii na weweseka Kulikosa penzi lako dosari na dhalilika Wakunipendeza amekuwa dhohari nyinyi nataabika Zile njozi sizipati nzuri Ooh Hanipendi hanipendi hanipendi Hanitaki teena jamani hanipendi Hanipendi hanipendi hanipendi Hanitaki teena hanipendi Kabadilika kawa mbogo instagramu Ana post madongo Kautupa moyo kwa korongo sioni kasha nipa chongo Mapenzi swala la uwongo siamini nime chezeshwa sodo Mwenzenu nime ukoka moto Unaniunguza mwenyewee Nateswa na baridi silalii na weweseka Kulikosa penzi lako dosari na dhalilika Wakunipendeza amekuwa dhohari nataabika Zile njozi sizipati nzuri Ooh Hanipendi hanipendi hanipendi Hanitaki teena jamani hanipendi Hanipendi hanipendi hanipendi Hanitaki teena hanipendi

More from Yammi

Yammi →

Related lyrics