Kukupenda
SW

Kukupenda lyrics

GenrePop
Original languageSW
Views14
AaReading settings
Text size 18

Original lyrics

SW
Translation not available yet. Showing the original lyrics.
Mmh mmh mhh Haah haah haah Haah mafeeling records aah Mi nimfugaji wa kuku wa penzi baby naomba kukugea Naomba pokea naomba pokea Honey ni kuku gani unataka nikupe kukupenda amaa Kuku jali kuku heshimu kuku zalia Njoo nikuonyeshe kuku kea kukulea Kukuelewa kama mtoto kuku elewa kwa mengi hata usio yanena Mana aah Kimwili naishi ila we ndo roho yangu Ukiondoka upande wangu nimeishaa Hivi bado ujahisi uwaga napoteza utimamu Usipo pokea simu yangu nafoka aah Kama kama simenti Ntagandana na wewe ntagandana nawewe Ni kama kama siafu Ntafatana na wewe safari ya milele Nakupenda wee Ukiniita sita tembea kuja nitakimbiaa Ukinilaza kwa kifua chako ntasinzia Najua hupendi kuku poa Mi pia sitaki kukuboa Na siwezi kukuondoa moyoni Ntajitia doa Mana aah Kimwili naishi ila we ndo roho yangu Ukiondoka upande wangu nimeishaa Hivi bado ujahisi uwaga napoteza utimamu Usipo pokea simu yangu nafoka aah Kama kama simenti Ntagandana na wewe ntagandana nawewe Ni kama kama siafu Ntafatana na wewe safari ya milele Nakupenda wee Mafeelling records Ni kama kama siafu Ntafata na wewe safari ya milele Nakupenda wee Ka mix Laizer

More from Yammi

Yammi →

Related lyrics