Acha Nilewe
SW

Acha Nilewe 歌词

流派Pop
时长3:38
原文语言SW
浏览量254
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Mmmm Mwambie achome udi Na ubani ii Nimesali eeh Atimize kusudi Lilo moyoni ii Ufurahi eh Maana atatembea furaha Nayo imegeuka simanzi Umenipa jeraha *pili iliyofanya nilie mapenzi Nashindwa ata kula Mimi sipati usingizi Dunia mduara mpaka mi kulipiza siwezi Pesa hazikuwa tatizo Nlimpatia kila hitaji la moyo wake Na kama sura ndo kigezo Aliniambia mi ndio chaguo lake Acha nilewe Mie nilewe Acha nilewe Mi nina mawazo Acha nilewe Ohnilewe Acha nilewe Niyapoteze mawazo Mpenzi upepo wa bahari Leo kusimama shwari Akiamungu sikujua Tizama usiku silali Tena nakesha nikisali Nachotesa mazoea Kumbe kosa la moyo wangu Ni kumpenda kwa dhati Nikataka awe wangu na nikaapa simwachi Liicha ya pendo langu Ila bado alinitaki Iwapi dhamani yangu ama sina maana Yarabi njoo baba Pesa hazikuwa tatizo Nlimpatia kila hitaji la moyo wake Na kama sura ndo kigezo Aliniambia mi ndio chaguo lake Acha nilewe Mie nilewe Acha nilewe Mi nina mawazo Acha nilewe Ohnilewe Acha nilewe Niyapoteze mawazo Oh niache, niache niache Eh niache, niache niache Oh niache, niache niache Acha nilewe Mie nilewe Acha nilewe Mi nina mawazo Acha nilewe Ohnilewe Acha nilewe Niyapoteze mawazo

更多 Harmonize

Harmonize →

相关歌词