Mdomo (feat. Ibraah)
SW

Mdomo (feat. Ibraah) 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量17
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Hahaha, Jeshi I really sound crazy Chinga, I wanna sing for my lady oh Sexy lady mmh Wanaokesha wakiomba tuachane, wanaupaka rangi upepo Ufe nikuzike tuzikane, kesho tukakutane kwa pepo Hasi na chanya tugandane, kisha tuzidishe tempo Bila sita saba na nane, hata kumi isingekuwepo Tena unavyojisuuza hujikwezi Sio wa kulala Buza ushinde Mbezi Yani unawaburuza hawakuwezi Umeniteka mama Watoto wa Mombasa huko Kenya, wanaitamani ndizi ya kumenya Wanajiuliza vipi umepenya, mpaka tembo hapindui Akina Carry mastory wanakusengenya, na vile huwajibu wanajitekenya Na ulivyo na sifa unanipa tena, yani mpaka asubuhi Kifupi umeniziba mdo mdo mdomo Mdo mdo mdomo Mdo mdo mdomo, mdo Yani baby umeniziba mdo mdo mdomo Mdo mdo mdomo Mdo mdo mdomo, mdo Mmh yeah Oh, baby I don't even understand Nahisi kama umenifanyia limbwata Ila ndo mapenzi sishangai, yeah My baby, I don't want a one night stand Mi kwako chizi nishadata, nitakupenda till I die Maana unanipa mawenge (ngengenge) Mara vichwa mara mwenge (ngengenge) Kaja gym na kite (tengenge) Ilimradi uchokozi, aah onananana Macho yanatazama mbingu, na mikono ushafunga na pingu Kibaridi huko nje kuna wingu, mi namwa mwagaga machozi Watoto wa Mombasa huko Kenya, wanaitamani ndizi ya kumenya Wanajiuliza vipi umepenya, mpaka tembo hapindui Akina Carry mastory wanakusengenya, na vile huwajibu wanajitekenya Na ulivyo na sifa unanipa tena, yani mpaka asubuhi Kifupi umeniziba mdo mdo mdomo Mdo mdo mdomo Mdo mdo mdomo, mdo Yani baby umeniziba mdo mdo mdomo Mdo mdo mdomo Mdo mdo mdomo, mdo Anataka niteleze kwa ute (hana ubaya) Nikitapika nisifute (hana ubaya) Ananifanya nisijute (hana ubaya) Hana Say, Chumbani nikukute (hana ubaya) Na ganja mbili tuvute (hana ubaya) Na vumbi la Congo ulifute (hana ubaya) Hana Kondeboy call me number one Chinga yes number one Number one Hehe

更多 Harmonize

Harmonize →

相关歌词