Enjoy
SW

Enjoy 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量172
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Hii leo Acha tu niwaweke wazi Mubaki na mishangao Kuhusu haya mapenzi Nataka kuyaeleza Na leo Tena wahiteni paparazi Warushe kwa mitandao Siyataki mapenzi Nataka jipongeza Unaemwita your baby Kumbe nae ana baby Ooh unaemwona kipenzi Ni mshenzi hakupendi Ama kweli mtihani Mambo mengi duniani Na mi stress siwezi Ooooh siwezi Aahh Bora ni enjoy Maisha mafupi ni simple Yanini niteseke roho Jiunge nami upoze koo Bora ni enjoy Maisha mafupi ni simple Yanini niteseke roho Jiunge nami upoze koo Kama kupenda Bora nimpende mama yangu Kama kupendwaa mimi Nitajipenda peke yangu Kilichoniponza ufala Kujiona simba kumbe swala Kazama kwenye penzi uchwala Badala ya kusaka miamala Toka ni date pesa Sa napendeza Na tena naenjoy Na wanangu ma homeboy Ooooh account inasoma Na kamwili kananona We mwenyewe si unaona yani Ai nasema bora Bora ni enjoy Maisha mafupi ni simple Yanini niteseke roho Jiunge nami upoze koo Bora ni enjoy Maisha mafupi ni simple Yanini niteseke roho Jiunge nami upoze koo Napenda nikilewa Nipande juu ya meza Minjonjo huku natema kiingereza Tupande juu ya meza Tupande juu ya meza Tupande juu ya meza Za, za, za, za, za Bora ni enjoy Maisha mafupi ni simple Yanini niteseke roho Jiunge nami upoze koo

更多 Jux

Jux →

相关歌词