Lucky Now  (feat. Bien)
SW

Lucky Now (feat. Bien) 歌词

流派Pop
时长4:01
原文语言SW
浏览量1.2K
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
najua ushaskia sana kama mapenzi yanauma tena wengi walaghai wanaume sisi nomaa (no) kuwa na amani kwa sababu uko na mimi sitopenda chozi lako we watu tumeumbwa wengi tofauti duniani tamaa za mwili haziwezi fanya nikuache we njiani kuwa na amani kwa sababu uko na mimi sitopenda chozi lako we ulitaka amani you're lucky now ulitaka furaha you're lucky now ulitaka rafiki you're lucky now uliomba mpenzi I'm here for you I'm here for you I'm here for you ulitaka amani you're lucky now ulitaka furaha you're lucky now ulitaka rafiki you're lucky now uliomba mpenzi I'm here for you I'm here for you I'm here for you wamekuvunja moyo wengi na vidonda havijapona na hupendi wasanii juu umechoka na sinema watu hawafanani mi na wao kama night and day nitabaki hapa na wewe amani amani moyoni amani tangu nkutie machoni nlikuona ndotoni ni kama ndoto you don't have to worry uko na mimi nitafuta chozi lako weee You looking for a king you're lucky now I'm looking for a queen I'm so lucky now You're looking for a friend you're so lucky now You're looking for a song I'll sing for you I'll sing for you I'll sing for you You're looking for a king you're lucky now I'm looking for a queen I'm so lucky now You're looking for a friend you're so lucky now You're looking for a song I'll sing for you I'll sing for you I'll sing for you As long as I breath I'll be there ntakuwepo kwenye shida na raha ntakuwepo And I'm only one call away ntakuwepo ntakuwepo na weee na we As long as I breath I'll be there ntakuwepo kwenye shida na raha ntakuwepo And I'm only one call away ntakuwepo ntakuwepo na weee na we

更多 Jux

Jux →

相关歌词