Chelewa (feat. Ruby)
SW

Chelewa (feat. Ruby) 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量3
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Uuh umeni murder Nimeishiwa na pozi mie Nmekosa mada Nabaki uh kutwa kukuwaza Tamu usijegeuka shubiri Moyo utaukwaza (aah eeh) Wewe ndo jike langu la kopa Mimi ndo dume lako la shupaza Na uliko ni mbali njoo Kabla kiza hakijatanda Ulimi kama nyoka mwendo wa kinyonga Macho ya kudondoka eeh Nyonga mkalia ini ndimi mkata shombo Wewe dada umeniweza eh Ulimi kama nyoka mwendo wa kinyonga Macho ya kudondoka eeh Nyonga mkalia ini ndimi mkata shombo Wewe dada umeniweza Mbona unachelewa Mbona unachelewa Mbona unachelewa Chelewa, chelewa Mbona unachelewa Jua linazama Moyo wangu unapwetapweta Jini kisirani amepata nafasi Stress za mapenzi zanilemea Najaribu jidanganya (jidanganya) Kuku kwa foleni nakaribia Mimi bila wewe kama bwege Sina lolote Oh, baby baby I need ya Jaribu kwendaga na mida Ukinipa vyote barida Njoo nikudakishe na show (oh, baby) Ulimi kama nyoka mwendo wa kinyonga Macho ya kudondoka eeh Nyonga mkalia ini ndimi mkata shombo Wewe dada umeniweza Ulimi kama nyoka mwendo wa kinyonga Macho ya kudondoka eeh Nyonga mkalia ini ndimi mkata shombo Wewe dada umeniweza Mbona unachelewa Mbona unachelewa Mbona unachelewa Chelewa, chelewa Mbona unachelewa (ooh baby)

更多 Kusah

Kusah →

相关歌词