Dakika
SW

Dakika 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量5
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Uzuri wa asili natural color wee Nimepagawa mimi mgonjwa Mama unipe dawa wee Leo nakupa siri, ukae ujuwe Kama wakwanza Mungu wapii Wazazi watatu ni wewe Hata nikienda mbali tunda langu nitunzie Wasije kina fulani wakaling’ata Nitatafuta kwa bidii Nitaongeza juhudii Omba Mungu abariki mama Oh mama Nitatafuta kwa bidii Nitaongeza juhudii Omba Mungu abariki mama Oh mama Hata dakika Nisipo kuona nitakonda mie Ninachokuomba nivumilie Ipo siku nitakua chema Hata hakika Ni vumilie mababy usiondoke Nitapata na mimi usichoke Labda kesho yangu yaja ahaa Usiri sura yako Vinanifanya nidate Nishike mwenzako Nimedondoka niokote Niko tabata foleni Si unajua dala dala haipenyi Najionea mageni kuna mengi Mengine sisemi Sinajua wyenye dhiki mama Inaponza so natafuta Nisije kosa ukanitosa oh mama Nitatafuta kwa bidi Nitaongeza juhudi Omba Mungu abariki mama Oh mama Nitatafuta kwa bidi Nitaongeza juhudi Omba Mungu abariki mama Oh mama Hata dakika Nisipo kuona nitakonda mie Ninachokuomba nivumilie Ipo siku nitakua chema Hata dakika Ni vumilie mababy usiondoke Nitapata na mimi usichoke Labda kesho yangu yaja ahaa

更多 Kusah

Kusah →

相关歌词