Sakata
SW

Sakata 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量4
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Kamata, shika chini kapakatee Ikizingua weka chini tema mate Aya Samata, kabumbu lisakate Aya kiti kapandisha maruhani Aya kiti anataka chumba cha uwani Athumani naye kasimama dede Ana midadi anataka akubebe Ulivyotuna na ulivyojaza debee Udenda wamtoka yaani kawa bwege Aya kamata, shika chini kapakatee Ikizingua weka chini tema mate Aya Samata, kabumbu lisakate Kama kachafu kasafishe katakate Ayaa sakata, sakata sakata beiby Waonyeshe ulivyofundwa eeeh Sakata, sakata sakata Ayaa waonyeshe Rhumba sakata, nishadata eeeh Sakata, nishadata eeeh Sakata, nishadata eeeh Sakata, sakata, sakata Sakata, sakata eeeh Sakata, sakata eeeh Sakata, sakata eeeh Sakata, sakata, sakata Yaani yeroo yeroo Subai, masai, pandisha mori Ndani kero kero Msuva katupia goli Leo mpaka kokorikoo Mi mwenyewe pompolipoo Mama katoka na mwiko Mwali kakimbia jiko Nanesa ninayumba yumba Moyo unadunda dunda Yaani ninayumba yumba Moyo unadunda dunda Aya kamata shika chini kapakatee Ikizingua weka chini tema mate Aya Samata kabumbu lisakate Kama kachafu kasafishe katakate Ayaa sakata, sakata sakata beiby Waonyeshe ulivyofundwa eeeh Sakata, sakata sakata Ayaa waonyeshe Rhumba sakata, nishadata eeeh Sakata, nishadata eeeh Sakata, nishadata eeeh Sakata, sakata, sakata Sakata, sakata eeeh Sakata, sakata eeeh Sakata, sakata eeeh Sakata, sakata, sakata Nanesa ninayumba yumba Moyo unadunda dunda Yaani ninayumba yumba Moyo unadunda dunda

更多 Kusah

Kusah →

相关歌词