Samahani (feat. Lava Lava)
SW

Samahani (feat. Lava Lava) 歌词

流派Afrobeats
原文语言SW
浏览量6
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Sexy diva, divana Gachi B Samahani hunijui samahani (Samahani) Samahani sikujui samahani (Samahani) Samahani hunijui samahani (Samahani) Samahani sikujui samahani (Samahani) Sasa mbona unaniongelea (Samahani) Sasa mbona unanisogelea (Samahani) Sasa mbona unaniomba bia (Samahani) Sasa mbona unaniangalia (Samahani) Samahani una bei gani? (Samahani) Kwani naongea na nani? (Samahani) Nimesahau ex wangu ni nani? (Samahani) Kurudiana ilikuwaga zamani (Samahani) Samahani sihitaji kushare (Samahani) Samahani sitaki umbea (Samahani) Samaha kama nawakosea (Samahani) Hivi kweli nitaoana unawafokea (Samahani) Nikiwa na pesa kama nawakwaza (Samahani) Kama kudanga kwani mi wa kwanza (Samahani) Nitakulipa vyuma vimekaza (Samahani) DJ anzisha kwanza (Samahani) I say don't touch me utanichafua Brand kama hii we huwezi nununua Nasema don't touch me utanichafua Brand kama hii we huwezi nununua Samahani hunijui samahani (Samahani) Samahani sikujui samahani (Samahani) Samahani hunijui samahani (Samahani) Samahani sikujui samahani (Samahani) Sasa mbona unaniongelea (Samahani) Sasa mbona unanisogelea (Samahani) Sasa mbona unaniomba bia (Samahani) Sasa mbona unaniangalia (Samahani) Samahani usipige simu usiku Mi nawe tulisha achana (Samahani) Samahani usitext usibeep Kujifanya unajua sana (Samahani) Kumbe mpenzi wako ni yule (Samahani) Sikujua jana nililewa (Samahani) Alisema atanipa bure (Samahani) Peleka moto sikuchelewa (Samahani) Samahani Lulu nakupenda (Samahani) Kiukweli siwezi kuficha (Samahani) Ndio maaana ulivonipa denda (Samahani) Video zetu nikazivujisha Samahani! Don't touch me utanichafua Brand kama hii we huwezi nununua Nasema don't touch me utanichafua Buti kama hii we huwezi nununua Samahani hunijui samahani (Samahani) Samahani sikujui samahani (Samahani) Samahani hunijui samahani (Samahani) Samahani sikujui samahani (Samahani) Sasa mbona unaniongelea (Samahani) Sasa mbona unanisogelea (Samahani) Sasa mbona unaniomba bia (Samahani) Sasa mbona unaniangalia (Samahani)

更多 Lulu Diva

Lulu Diva →

相关歌词