Baikoko
SW

Baikoko 歌词

流派Pop
时长3:33
原文语言SW
浏览量2.2K
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
ayo laizer kako fine kila ninikaweka kwenye line (bilabila) shuwaini kwake nimelewa kama wine (tilalila) baby acha unachezaga (baikoko) ye sisimizi nami gegedu tuna gegeduana nilivyo sina jinsi tajiri wa mbegu namuhonga na mwana baba mndenge mama mzaramo uno lake la kurithi kafunga tenge mwali chakalamu shetani mwana ibilisi jipuu (jipu) uchungu (uchungu) mwana nyuma umejaza kishundundu kwenye zipu (zipu) kuna kirungu (kirungu) usikamate utawaita wazungu eeh heeh babu mkuna nazi aah haah achutama kishinani na msuli wake upo wazi mambo yote hadharani go! go! go! go! goal mtoto anadaka goli kipa runya mira (wabeja) tena akikata anaitikisa sababu baby acha unachezaga (baikoko) unavyo baby (baikoko) unavyoinyonga (baikoko) eeh waonyeshe (baikoko) baby acha unachezaga (baikoko) unavyo baby (baikoko) unavyoinyonga (baikoko) eeh waonyeshe (baikoko) asa komesha dengua! dengua baby dengua! dengua ringa dengua! dengua deka dengua! dengua wakuone kanivua ndala miguu anataka nipite peku (peku peku) kunduchi juu anifikishe kwetu (kwetu kwetu) embu tamu ladha ya kitumbua rojo ya embe kibada! kibadah hodari kunengua miuno ya ushubwada (shubwadah) nyuma kalisasambua kafungasha midabwada (bwaadah) anavyo tafuna mua ka kibogoyo dada! katoto kamelainika kwala (kwala) kapo kama ndizi banana (nana) nitakapeleka kwa mama (mama) mama dangote kama kuku twakimbizana (zana) kana ibuka kana zama (zama) kamwili kana balaa na lana (lana) lana kazote ebooh! mtoto anadaka goli kipa ronya mira (wabeja) tena akikata anaitikisa sababu baby acha unachezaga (baikoko) unavyo baby (baikoko) unavyoinyonga (baikoko) eeh waonyeshe (baikoko) baby acha unachezaga (baikoko) unavyo baby (baikoko) unavyoinyonga (baikoko) eeh waonyeshe (baikoko) asa komesha dengua! dengua baby dengua! denguagua ringa dengua! dengua deka dengua! dengua wakuone kama anaifata anaima anainuka mwali anaifuata kwakujishebedua anainama anainuka mwali anaisusa kama hataki mwaache anaima anainuka mwali anaifuata kwa madoidoi anaima anainuka mwali anaifuata (brrrok) (ka-mix layzer) (wasafi)

更多 Mbosso

Mbosso →

相关歌词