Ova
SW

Ova 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量247
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Vishavu vimeanza kunona Kitambi ndo hichi sasa ona Nitazame, nanenepa nanenepa Nami nimempata chioma Ulijichanganya, na nilikupenda sana Walokudanganya, ndo walokuponza dear Kujitia mpana, mara kunitukana Kwakweli hapana, nikasema ova dear Ova ova Ova mi na wewe ova Ova imetosha ova Ova mi na wewe ova Ova nimesema ova Ulijichanganya, na nilikupenda sana Walokudanganya, ndo walokuponza dear Kujitia mpana, mara kuntukana Kwakweli hapana, nikasema ova dear Shilingi shilingi shilingi Shilingi yatutoa roho shilingi Shilingi yo ni mwanaharamu shilingi Shilingi ya ua mapenzi Ulijichanganya, na nilikupenda sana Walokudanganya, ndo walokuponza dear Kujitia mpana, mara kuntukana Kwakweli hapana, nikasema ova dear Ova mi na wewe ova Ova imetosha ova Ova mi na wewe ova Ova nimesema ova Ulijichanganya, na nilikupenda sana Walokudanganya, ndo walokuponza dear Kujitia mpana, mara kuntukana Kwakweli hapana, nikasema ova dear Ova ova

更多 Mbosso

Mbosso →

相关歌词