Bado
SW

Bado 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量7
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Kuna maneno ya kusikia Sikupendi utaambiwa Sio ishu ni hatari usije ukayasikia Mwenyewe umenisifia Mwendo wangu wa ngamia Taratibu bwana darling usije ukayasikia Usije niacha wakati nakupenda sana Eeh bwana we me nitapagawa Mambo madogo kelele za kusemezana Nielewe mambo weka sawa Usije niacha mwenzako ntamisi matukio wo wo wo Kama ulaya wanavyofanyagaa Utanipa donda hapo hapo nikianzishe kilio wo wo wo Baba ubaya usije ni bwagaa Nakupenda Badobadobadobadobadobadobadobado Badobadobadobadobadobadobadobado

更多 Nandy

Nandy →

相关歌词