Kongoro
SW

Kongoro 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量3
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Umepoteza usikivuu haunisikizi tenaa Nani kakuaribu mbona gafla kulizanaa Wanuna bila sababu waniona me mtwanaa Ukiwa nami wajifanya bubu kutesanaa Mapenzi hayana ubia soko uria Kuamisha muamala Mbwembwe zimeniishia mkufu bandia Mazao yameungua My baby, hayana ubia soko uria Kuamisha muamala Mbwembwe zimeniishia mkufu bandia Mmazao yameungua Heri imogizani (nitabaki kongoro) Sioni sababu (mwili wabaki kongoro) Inayofanya uniumizee (nitabaki kongoro) Unanipa tabuu (mwili wabaki kongoro) Kisa upendo unilizee (nitabaki kongoro) Sioni sababuu (mwili wabaki kongoro) Inayofanya uniumizee (nitabaki kongoro) Unanipa tabuu (mwili wabaki kongoro) Kisa upendo uniuliziee Eeheeh, ioohoh, eeh Upendo wa dhati unaning'inia Afueni sipati ninaishilia Weka hisabati na kukotoa Ila jibu sipati nandomepotea Japo nafsi inapinga ngumu yako kaulii Sikubali kushindwa ndani nyingi dosari Kila siku kunipa kuniona fedhuli mimi Fedhuli mimi, mapenzi Mapenzi hayana ubia soko uria Kuamisha muamala Mbwembwe zimeniishia mkufu bandia Mazao yameungua My baby, hayana ubia soko uria Kuamisha muamala Mbwembwe zimeniishia mkufu bandia Mmazao yameungua Heri imogizani (nitabaki kongoro) Sioni sababu (mwili wabaki kongoro) Inayofanya uniumizee (nitabaki kongoro) Unanipa tabuu (mwili wabaki kongoro) Kisa upendo unilizee (nitabaki kongoro) Sioni sababuu (mwili wabaki kongoro) Inayofanya uniumizee (nitabaki kongoro) Unanipa tabuu (mwili wabaki kongoro) Kisa upendo uniuliziee Eeheeh, noo, eeh

更多 Nandy

Nandy →

相关歌词