Lonely
SW

Lonely 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量9
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
(Ah-ah-ah, ah-ah, ah) Iwe kwa gongo ama kwa panga shoka Penzi nimelitupa mbali Hani mwa ongo moyo umepachuka Imenisurubu dhohari Te, te, te, mi najongea Kwenye ulingo wa mapenzi nakimbia Zote kwa zote najiengua Chapter ya mapenzi nimefunga Oh maido, oh maido Ulinipa amani penzi kisado Nikawa na imani mengi madoido Nikijua mi napendwa, nikavimba kichwa Ah-ah, maido Nayaweka kando ma kando-kando Imenichosha mingi misondo Hii safari nimemaliza mwendo Ah-ah-ah, taratibu Gonjwa langu lishapata tabibu Nime dabwalika sipati taabu Oh-oh, taabu Maajabu, nimezoea wala sina hadhabu Ka moyo twika kana feel hii vibe I don't know, I don't know Ila, I'm so lonely I'm so lonely I don't known, ila na enjoy kuwa lonely I'm so lonely I don't know, ila na enjoy kuwa lonely (Ah-ah-ah, ah-ah, ah) Oh, bartender give me one shoti Ninywe kamnyweso hadi nishike magoti Nipo free to be single, so sweet Niko free to be single, so sweety Ah-ah, mashallah Yalishapona majeraha Roho kwatu imejaa furaha Kufa kwaja nakula raha Ah-ah-ah, taratibu Gonjwa langu lishapata tabibu Nime dabwalika sipati taabu Oh-oh, taabu Maajabu, nimezoea wala sina hadhabu Ka moyo twika kana feel hii vibe I don't know, I don't know Ila, I'm so lonely I'm so lonely I don't known, ila na enjoy kuwa lonely I'm so lonely I don't know, ila na enjoy kuwa lonely Ah-ah, mashallah Yalishapona majeraha Roho kwatu imejaa furaha Kufa kwaja naponda raha aah I'm so lonely I don't know, ila na enjoy kuwa lonely

更多 Willy Paul

Willy Paul →

相关歌词