Away (feat. Harmonize)
SW

Away (feat. Harmonize) 가사

장르Pop
원문 언어SW
조회수32
Aa읽기 설정
글자 크기 18

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
Eeeh, yao-yao Konde Boy, call me number one Baresai-ih, uuh-uuh yeah (sky) Ah, dakika elfu moja mia nne arubaini Hunitoki, oh Ah, masaa ishirini na manne Huondoki tuu Kwenye moyo wangu jenga, sawa Maana kila unapodunda pu, unataja jina lako Wenye moyo wangu huishi, sawa Kila napotaka sema su naiona sura yako You're my angel (ooh, lalala) You're my everything, you're my everything eeh You're my sweetie (tararara) Mi nataka nawe, na wewe milele Don't you go away? Sioni kama ntapata zaidi ya wewe Don't you go away? Mi nataka nawe, na wewe milele I know, I know, I know Uzuri, uzuri wako nawapa chefu wenye chuki na hira Asikamara hisi kuwa na shepu akajaribu mloga nzila Eti nakesha nakombea ndio kisha najombea On a series loving there, and I promise to never share My baby boo sasa mbona unishahamu Kutwa kucha nakuongelea, wewe nakuongelea And I swear baby sio tu damu Hata figo ntakutolea, wewe nakutolea Mmh, mwenzako 'ko nyumba nshakuzunguka Sitaki hata kumbuka machungu Yale si mapenzi vitungu Ila baby wewe ulinifuta machungu Siku ukienda utaniua mende kwa bonge la rungu Don't you go away (don't go, don't go) Sioni kama ntapata zaidi ya wewe Don't you walk away Mi nataka niwe na wewe (niwe na wewe) Don't you go away (baby, baby, away) Sioni kama ntapata zaidi ya wewe Don't you walk away Mi nataka niwe na wewe milele (niwe na wewe)

Marioo의 다른 곡

Marioo →

관련 가사