Dar Kugumu
SW

Dar Kugumu 가사

장르Pop
원문 언어SW
조회수10
Aa읽기 설정
글자 크기 18

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
(Ah bah) Nana nana Dar kugumu kweli Toka nifikie mwaka wa tano ushapita Ila simaanishi nimefeli honey wangu we Nana na Washanikwamishaga matapeli Maswahibu kibao yashanikuta Mpaka leo kupona yote kheri Mpenzi wangu wee Na tumshukuru maulana aah Tunapumua tunapumua Tia maji tia maji sawa Nilikotoka sio nilipokuwa Hivi vichange vilivyopatikana aah Tutakula na tutatanua aah Tone moja la halali dawa Kuliko kikubwa cha kukwapua Ila sio mbaya Ya miguu mitatu bajaji nimenunua Kiroho mbaya Chumba kimoja salasala nimeshapaua Ila sio mbaya Ya miguu mitatu bajaji nimenunua Kiroho mbaya Chumba kimoja salasala nimeshapaua Funga na vilago vyakoo Nakungojeea mama Niko stendi Aga na jirani zako Afu nibebee mihogoo nimeimissii Funga na vilago vyakoo Nakungojeea mama Niko stendi Aga na jirani zako Afu nibebee mihogoo nimeimissii Basi fanya himaa Mwenzio nimekumiss Nimemiss kukuoonaa Nawe nambie ulichokimiss Subira yako imehusika sana kunizalishia Nikikumbuka nilivokuachaga shidani Sikuona na budi kuhenyeka Yashaiva matunda tuje Kuvuuna aah unanisikii aah Nishazunguka sana kutafuta utajiri Bado sijapata aah Ila sio mbaya Ya miguu mitatu bajaji nimenunua Kiroho mbaya Chumba kimoja salasala nimeshapaua Ila sio mbaya Ya miguu mitatu bajaji nimenunua Kiroho mbaya Chumba kimoja salasala nimeshapaua Funga na vilago vyakoo Nakungojeea mama Niko stendi Aga na jirani zako Afu nibebee mihogoo nimeimissii Funga na vilago vyakoo Nakungojeea mama Niko stendi Aga na jirani zako Afu nibebee mihogoo nimeimissii Maisha sio kutafutana Na muomba Mungu hakosi hata chembe Nilipambanaa sana aah Hata wewe uvumilie eeh Kikubwa Imani tuu uh Nilikuwekee aah Tujee tulee eeh Tuuje tuule eeh Mi na wewe eeh

Marioo의 다른 곡

Marioo →

관련 가사