Naogopa (feat. Harmonize)
SW

Naogopa (feat. Harmonize) 가사

장르Pop
길이3:57
원문 언어SW
조회수2.1K
Aa읽기 설정
글자 크기 18

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
Kwetu situnasherehe Mapenzi, sio makasiriko ah haa Kwetu ni fuhara tele Maana mapenzi, sio makasiriko mmh mmh Hata kama tukishindia tembele Ooh! My love Baba mwenye nyumba kodi apige kelele Ooh! My love Hata kama tunapanda dala dala Mi nawe my love Et chetu chumba kina mavyombo tele Inahusu? Wala sidhani kama hunipendi Ila nawaza usipokuwepo ntaishije eeh Mwenzako najua kamaa unanipenda Umeniweka moyoni Ila nawaza usipokuwepo ntaishije Ndo ninaogopa (aah) Aah aah aaaah naogopa Aah aah aaaah naogopa Aah aah aaaah naogopa Aah aah aaaah naogopa (yao yao) Hivi hushangai napendwa Ila sura bado inakosa nuru Yani najiona sipo huru Napagawaa Siku sinavyozidi kwenda Najiona kabisa nitakufuru Maana naishi ka-kunguru Kutwa kuzificha mbawaa Ridhiki yangu a papatu papatu Mara nilipe vikoba upatu Vipi ukija kutamani vya watu Mimi si utaniacha Ukiachilia mbali mashindao Wanaonizidi pesa muonekano Si lazima nikutajie mifano Niahidi kama utayaweza mapambano Icho ndo kinanipa mawaza Nikikupost biashara matangazo Sintoweza kukuechunga Mbele za wenye mipunga Mmh mmmh mmmh baby (abee) What can I do? Baby, I no go let you go And I want you more Oh wooh wooh wooh baby (abee) What can I do? Baby, I no go let you go And I want you more Mwenzako ooh Aah aah aaaah naogopa Kweli mwenzako naogopa Aah aah aaaah naogopa Baisi kiota changu kiona choyo Aah aah aaaah naogopa Maana wasije nichoma mkuki wa moyo Aah aah aaaah naogopa Na na na na hi aah Konde boy call me number one bahkresa Mimwenzako naogopa aah Aah aah mmh mmh aaah (tshi)

Marioo의 다른 곡

Marioo →

관련 가사