Hayaa
SW

Hayaa 가사

장르Afrobeats
원문 언어SW
조회수14
Aa읽기 설정
글자 크기 18

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
Uuuhh The melanin queen, yeah Si tulipanda miti Kivuli tayari Sah, tuketi Jua lisituchome Siwezi kusaliti Kukuacha uende mbali Sitetereki Shetani anikome Nakupenda wewe tu mahabuba (mahabuba) Tugandane gandane kama ruba (kama ruba) Tulilinde zaidi letu huba (letu huba) Twafurahi japo hatuna fuba (hatuna fuba) Oh haya haya hayaaaa (haya, haya) Haya weh (hayaaa) Haya haya (haya, haya) Hayaaa Nishike kidogo (Haya haya) aah kidogo (Hayaa) Haya haya (Haya, haya) Hayaaaa Huba lake ni tamu Walah sijawahi ona before Ai before… (Kama yeye) Nikishikwa na hamuu Sipati shida ya kumwita njoo Simwiti ng’oo (aja mwenyewe) Nampa uroda Mpaka maji anaita m’ma (m’ma) Tam tam kama soda Kimeumana chuma kwa chuma (chuma) Akianza kwa shoulder Anafuata mbele na nyuma (nyuma) (Ah) hajaniroga Kamali ameshani puna Nakupenda wewe tu mahabuba (mahabuba) Tugandane gandane kama ruba (kama ruba) Tulilinde zaidi letu huba (letu huba) Twafurahi japo hatuna fuba (hatuna fuba) Oh haya haya hayaaaa (haya, haya) Haya weh (hayaaa) Haya haya (haya, haya) Hayaaa Nishike kidogo (Haya haya) aah kidogo (Hayaa) Haya haya (Haya, haya) Hayaaaa

Phina의 다른 곡

Phina →

관련 가사