Wawili
SW

Wawili 가사

장르Afrobeats
원문 언어SW
조회수13
Aa읽기 설정
글자 크기 18

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
Oh Melanin Queen, yeah! La wawili La wawili La wawili Tam tam Ugali mwenzake mutindi Mmmh, masham sham Penzi umelijaza ndindi Njoo, come come Tucheze kuchi kama wahindi Mi nawee dam dam Hili game sindo washindi Una mapenzi kedekede Tufunge ndoa one day one day Hata sitaki delay delay Watanipora mabosi Una mapenzi kedekede Tufunge ndoa one day one day Hata sitaki delay delay Watanipora mashangingi Hili penzi la wawili (la wawili) La wawili (la wawili) Wewe na mimi (la wawili) Watatu wa nini Hili penzi la wawili tu (la wawili) La wawili (la wawili) Wewe na mimi (la wawili) Watatu wa nini Sifa ya jongoo kujikunja kunja Dawa ya khooo mkojo wa punda Wanasema halina ubani la kuvunda Mmmh, mi kwako taabani nakukunda Nilimwomba Mungu anipe wakufanana nae Akanipa wewee Wakwangu mwenyewe aiii Una mapenzi kedekede Tufunge ndoa one day one day Hata sitaki delay delay Watanipora mabosi Una mapenzi kedekede Tufunge ndoa one day one day Hata sitaki delay delay Watanipora mashangingi Hili penzi la wawili (la wawili) La wawili (la wawili) Wewe na mimi (la wawili) Watatu wa nini Hili penzi la wawili tu (la wawili) La wawili (la wawili) Wewe na mimi (la wawili) Watatu wa nini

Phina의 다른 곡

Phina →

관련 가사