Sitaki Tena
SW

Sitaki Tena 가사

장르Afrobeats
원문 언어SW
조회수8
Aa읽기 설정
글자 크기 18

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
Nitachowaambia msiache kumwambia na yeye Simchukii na, na najipa mweyewe oh, no oh, baby sijutiii kuwa mbali naye apunguze presha Mwambieni sililii, penzi lake nilishalihimisha Hazijabaki memory wala kumbukumbu Nilishamsahau mazima Hata nikimwona namwona ka nungu nungu Sio kama namvunjia heshima Makombe amalize ajifushe na nyungu Akakoge na maji ya kisima Ila mimi nilisha apa kwa mwenyezi Mungu Haitojirudia daima Sitaki tena, tena mwambieni asinisumbue mimi Sitaki tena, nipo buheri na nafsi yangu Sitaki tena, abaki na zake nibaki na zangu Sitaki tena, nipo buheri na nafsi yangu Dua zake mbaya kwangu nifeli nilipo sasa anajua Najua likiwa ka kiza kikitanda ananiwaza ananijua Mwambieni asihangaike na mipasho moyo wake mimi naujua Sitaki kumdhalilisha nikataja na siri zake nikaamuumbua Hazijabaki memory wala kumbukumbu Nilishamsahau mazima Hata nikimwona namwona ka nungu nungu Sio kama namvunjia heshima Makombe amalize ajifushe na nyungu Akakoge na maji ya kisima Ila mimi nilisha apa kwa mwenyezi Mungu Haitojirudia daima Sitaki tena, tena mwambieni asinisumbue mimi Sitaki tena, nipo buheri na nafsi yangu Sitaki tena, abaki na zake nibaki na zangu Sitaki tena, nipo buheri na nafsi yangu Mwambieni sijutiii kuwa mbali naye apunguze presha Mwambieni sililii, penzi lake nilishalihimisha

Phina의 다른 곡

Phina →

관련 가사