Limevuja
SW

Limevuja 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量40
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Oooh, oooh maya aah (Nusder) Si umesema mi baniani mbaya Na uwepo wangu kwako sio dawa, haya aah Penzi nikashona tenzi na riwaya Kwenye moyo wako livae liwe sawa, limepwaya Napuliza majivu maana moto siuoni Kooni maumivu vumbi larudi machoni Ahadi za mbivu zimebaki ndotoni Lile penzi tulivu leo lipo kikaangoni Imeniponza huruma kirungi Kujitisha kumsaidia Kumbe katoboa mtungi Maji yananimwagikia Penzi limevuja tena Penzi limevuja tena Penzi limevuja tena Penzi limevuja tena aah Ulisema sikiwambaza Penzi letu ukuta wa chuma Nikitoka kiwalaza Utanistiri nywele za nyuma Mara kwa mara ulilia Kifuani umenilalia Ukijuta unayachukia Yale ulopitia Eti kama mimi hujaona Wa kufanana naye Asa mbona hukusema Kama ushakutana naye Napuliza majivu maana moto siuoni Kooni maumivu vumbi larudi machoni Ahadi za mbivu zimebaki ndotoni Lile penzi tulivu leo lipo kikaangoni Imeniponza huruma kirungi Kujitisha kumsaidia Kumbe katoboa mtungi Maji yananimwagikia Penzi limevuja tena Penzi limevuja tena Penzi limevuja tena Penzi limevuja tena aah

更多 Mbosso

Mbosso →

相关歌词