Antenna
SW

Antenna 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量286
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Aah pablo ukigusa biti nashtuka Naona kama napanda mizuka Na kichani ishanijaa chupa Aah pablo ukigusa biti nashtuka Naona kama napanda mizuka Na kichani ishanijaa chupa Lazima irudiwe sababu nnataka tena We hili goma noma limenkuna kwenye mtima Sitaki nishauriwe kwenda nyumbani mapema Kwanza mnipepee nina jasho mwili mzima haya sasa Vidaleki antena (zungusha antenna) Vidaleki antenna (zungusha antenna) Vidaleki antenna (zungusha antenna) Vidaleki antenna (zungusha antenna) Ayaa ayaa ayaa ayaa Eh piano iyo iih piano iyo aah Na biti la lg bana linanoga Piano iyo iih piano iyo aah Na biti la lg bana linanoga Ebu kwanza tucheze munike Mwite yule aje akatike Ashurey ndo atetemeke Nzowa mkono upande ushuke Twende vimacho we nipe vimacho Haya vimacho tikisa vimacho Twende vimacho we nipe vimacho Haya vimacho tikisa ayaa Lazima irudiwe sababu nnataka tena We hili goma noma limenkuna kwenye mtima Sitaki nishauriwe kwenda nyumbani mapema Kwanza mnipepee nina jasho mwili mzima haya sasa Haya sasa vidaleki antenaa (zungusha antenna) Vidaleki antennaa (zungusha antenna) Vidaleki antennaa (zungusha antenna) Vidaleki antennaa (zungusha antenna) Ayaa ayaa ayaa ayaa Aah pablo ukigusa biti nashtuka Naona kama napanda mizuka Na kichani ishanijaa chupa Aah

更多 Zuchu

Zuchu →

相关歌词