Sukari
SW

Sukari 歌词

流派Pop
时长3:02
原文语言SW
浏览量9.7K
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Eti nimemlambisha ananambia chombezaa (chombeza) Tena nikiizidisha ananambia kolezaa (koleza) Nikitaka kusitisha ananambia ongezaa (ongeza) Japo imesibitishwa ila itampoteeza aaa Ikipanda ni balaaa (naogopa) Ikishuka ndo hataali (naogopa) Asije pata madhalaa (naogopa) Akaikosa na hali (naogopa) Radha yake msalaa (naogopa) Shila ya kizanzibar (naogopa) Nami simpii mi walaa Akitaka nampa Ai su kaari (nampatia) A Suger sukari (nampatia) Su kaari (nampatia) A Suger sukari (nampatia) Su kaari (nampatia) Suger sukari (nampatia) Su kaari (nampatia) A Suger sukari (nampatia) Na akilia njaa Njuu njaa sifanyi ajisi Namjazia jaa Juu jaa na vitangawizii eeeh Baba chanja baba chanja e (eeeeh) Chukua vyote chukua (kulaa) Vitafune nganjanganja e (eeeeh) Chakua mwaya chakau (kulaa) Ujibusti na karanga e (eeeeh) Tuliza na kitumbua ila (kulaa) Jiadhali na majanga wee Usije ukaugua mana Ikipanda ni balaaa (naogopa) Ikishuka ndo hataali (naogopa) Asije pata madhalaa (naogopa) Akaikosa na hali (naogopa) Radha yake msalaa (naogopa) Shila ya kizanzibar (naogopa) Nami simpii mi walaa Akitaka nampa Ai su kaari (nampatia) A Suger sukari (nampatia) Su kaari (nampatia) A Suger sukari (nampatia) Su kaari (nampatia) Suger sukari (nampatia) Su kaari (nampatia) A Suger sukari (nampatia) Nimloge kwanini kashanogewa (daambua dambua) Udambu wa sukarini tamu kolea (daambua dambua) A sema da dambua (dambua) We dambua (dambua) Alua aluaa (dambua) We dambua (dambua) A sema da dambua (dambua) We dambua (dambua) Inama kama unafuaa (dambua) Kigulu nyanyuaa (dambua) Ey

更多 Zuchu

Zuchu →

相关歌词