Chapati
SW

Chapati 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量196
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
LG, aah LG Mr. LG Dullah, dullah, dullah Anataka kula Dullah hataki andazi, anataka kula Dullah hataki viazi, anataka kula Dullah, dullah, dullah anataka Basi kitendawili (tega) Kitendawili (tega) Kitendawili (tega) Kitendawili (tega) Kitu flati, kitu laini, katikati aliye na maini Kitu flati kitu laini, katikati aliye na maini Chapati, cha-pa-ti Chapati, cha-pa-ti Chapati, cha-pa-ti Chapati, cha-pa-ti Chapati, cha-pa-ti Chapati, cha-pa-ti Eh, kwani umeiweka nini mi naipenda? Kwani umeiweka nini mi naitaka hiyo? Kwani umeiweka nini mi naipenda? Kwani umeiweka nini mi naitaka? Inateleza, tamu inateleza Inateleza, tamu inateleza Basi kitendawili (tega) Kitendawili (tega) Kitendawili (tega) Kitendawili (tega) Kitu flati, kitu laini, katikati aliye na maini Kitu flati kitu laini, katikati aliye na maini Chapati, cha-pa-ti Chapati, cha-pa-ti Chapati, cha-pa-ti Chapati, cha-pa-ti Chapati, cha-pa-ti Chapati, cha-pa-ti The mix killer

更多 Zuchu

Zuchu →

相关歌词