Kwaru
SW

Kwaru 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量27
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Iyoo lizer Aah ah aah Ah Roho ingekua na macho ungejionea Moyo haufanyi kificho ukigotea Mimi kipi nisonacho ungeongea Mwili wangu rochorocho nanyong’onyea Chungu nilichopika Wamepakua wenzangu Huruma napukutishwa Wamechukua tonge langu Na kitabu chetu cha mapenzi Kurasa umeichanachana Hazisomeki tena tenzi Zimepoteza maana Mpofu moyo wangu Ulishindwa ona Hukuandikwa wakwangu Limenikaba nalitema Kwaru kwakwaru kwaru Kachukua kisoda Ana ukwangua Kwaru kwakwaru kwaru Moyo wangu unaumia Kwaru kwakwaru kwaru Ah! Ye kwa nguvu Ana ukwarua Kwaru kwakwaru kwaru Jamani moyo wangu Unaumia Eh Langu tatizo Nachunda najimaliza Mi nakesha kumuwaza Naweweseka lake jina (ooh jina) Oh! Basi kwa unyonge Najikaza niache kulia Mana kwake bahati sina (ooh sina) Maumivu ameipora furaha yangu Ooh amekwenda nayo Na zangu mbivu zimeniozea Mmh hasara kwangu Ooh oh! Yatajwisha nayoo Mpofu moyo wangu Ulishindwa ona Hukuandikwa wakwangu Limenikaba nalitema Kwaru kwakwaru kwaru Kachukua kisoda Ana ukwangua Kwaru kwakwaru kwaru Moyo wangu unaumia Kwaru kwakwaru kwaru Ah! Ye kwa nguvu Ana ukwarua Kwaru kwakwaru kwaru Jamani moyo wangu Unaumia

更多 Zuchu

Zuchu →

相关歌词