Mauzauza (feat. Khadija Kopa)
SW

Mauzauza (feat. Khadija Kopa) 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量49
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Shunuaa usijipe mapana Eti mwili kujitutumusha Nitakutawanya ka bahari na fimbo ya Musa Umejigeuza Sudi Sio wa Corora wala Vogi Na hilo wowowo la kufoji Eti linakupa kodii Ohh leo unikome mwenye kiranga (Mwenye kiranga) Hujanijua vizuri Hili timbwili la vanga (Mwenye kiranga) Ooh leo mbona umeyabananga (Mwenye kiranga) Mi maskini jeuri Sitegemei madanga (Mwenye kiranga) Mauzauza we mwana mauzauza Si wamekushindwa kwenu Walimwengu tutakufunza Mauzauza we mwana mauzauza Si wamekushidwa kwenu Walimwengu tutakufunza (Unaninii kichwa cha chikichi) (Umevaa kinu unatwangia mchi) Mwali kigego mwenye nyota ya mitaala Hivi kungwi wako nani wewe? (Atajijua) Uso mitego imedoda biashara Hueleweki si kunguru si mwewe Wadala ubaki dala Mwenzio mimi kibunda Haufai kwa kafara Si mbuzi wewe ni punda Umejivisha ubazazi Kwa mapana na marefu Uso na kazi Si wa ndala wala peku Ooh ooh Ondo ondo mlezi wa wana We budege zoa zoa Mwali pengo binti mwanya Chuchunge kwa kudonyoa Ooh leo unikome mwenye kiranga (Mwenye kiranga) Hujanijua vizuri hili timbwili la vanga (Mwenye kiranga) Ohh leo mbona umeyabananga (Mwenye kiranga) Me maskini jeuri, sitegemei madanga (Mwenye kiranga) Mauzauza we mwana mauzauza Si wamekushindwa kwenu Walimwengu tutakufunza Mauzauza we mwana mauzauza Si wamekushidwa kwenu Walimwengu tutakufunza Hutayaweza yangu yako yanakushinda Hutayaweza yangu yako yanakushinda Hutayaweza yangu yako yanakushinda Hutayaweza yangu yako yanakushinda Hutayaweza yangu yako yanakushinda Hutayaweza yangu yako yanakushinda

更多 Zuchu

Zuchu →

相关歌词