Naringa
SW

Naringa 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量139
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Sing mmhh eehh Let sing, comeon eeh Sioni aibu, kwa kila linalonifika Mana kukosea ni wajibu Mola ameshaandika Na sianguuki, mimi nimechaguliwa Nnae mtegemea hachooki Hajawahi kupitiwa Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza Vinanipa ujasiri Nakua gado kamili Ukitaka kunidhuru mie Upite kwakwe kwanza Mungu wangu halali Ana ulinzi mkali Na ndio mana naringa naringa naringa naringa naringa Nalindwa na mungu Msinione navimba navimba navimba navimba navimba Nalindwa na mungu Raise your glass Cheers to the Lord Roho mbaya ubinafsi hajaumbiwa nyungunyungu Wala mtu mwenye maarifa Kweli mabaya sikosi, najua mazuri yangu Mtayasema nikifa aaeh Unaniona napamdana, kwa tabu na dhoruba Nilinde virogo vya walimwengu visinifike ng’o Utadhani wao hawana, umewapa vikubwa Ila bado hiki kidogo changu kinawatoa rohoo He Na sianguuuki mimi nimechaguliwa aahh Nnae mtegemea hachooki Hajawahi kupitiwa Mnavyotuma viniue, ndo vinanikuza Vinanipa ujasiri Nakua gado kamili Ukitaka kunidhuru mie Upite kwakwe kwanza Mungu wangu halali Ana ulinzi mkali Na ndio mana naringa naringa naringa naringa naringa Nalindwa na mungu Msinione navimba navimba navimba navimba navimba Nalindwa na mungu

更多 Zuchu

Zuchu →

相关歌词