Shika
SW

Shika 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量49
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Nani tron aaah tron (eyo tron) Iih aah (iih iiih iih aah) Iih aah (iih iiih iih aah) (Et nani kakojoa shuka imetota aah imetota shuka imetota) Leo nsingebaki ndani ata inyeshe mvua (inyeshe mvua) Sina sent kumi yani ntadandia washua (aah washua) Kwani DJ ni nani mbona anajua (anajuaa) Kibeg nishikieni nataka kuuwa (basi uaa) Eh shika shika shika shika Eh shika shika shika shika Mmh Police kamata wizi wanawaibia watu Police kamata wizi wanawaibia watu Muongeze ulinzi tule bata mpaka jumatatu Mtuache na walevi twalewa kwa hela zetu Shika shika shika (twalewa kwa hela zetu) Shika shika shika (twalewa kwa hela zetu) Mmh Ole le le olo lo lo Ole ole ole olo lo lo Ole le le olo lo lo Ole ole ole olo lo lo aah

更多 Zuchu

Zuchu →

相关歌词