Yalaaaa
SW

Yalaaaa 歌词

流派Pop
原文语言SW
浏览量37
Aa阅读设置
文字大小 18

原文歌词

SW
暂时没有翻译,当前显示原文歌词。
Mmmmh kaniumbua umbua Anavyonidadavua Vitu flani vya kusisimua Chachambu anavyo ichambua Hunipa ning’ate ng’ate Mikato nikate kate Igande inate nate Itelezeshwe kwa matee Yalaaaa, yalaaaa Yalaaaa, yalaaaa Yalaaaa, yalaaaa Yalaaaa, yalaaaa Yalaaaa, yalaaaa Kanipania pania Na hajataka kuniachia Kanipania pania Na hajataka kuniachia Kama samaki hulumangia Huanza kichwa mpaka na mkia Naiomba serikali Kijana apelekwe mbali Ananifanya silali, siwazi, sitafakari Yalaaaa, yalaaaa Yalaaaa, yalaaaa Yalaaaa, yalaaaa Yalaaaa, yalaaaa Yalaaaa, yalaaaa

更多 Zuchu

Zuchu →

相关歌词